Exodus 20:2-4
2 a“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa.
3 bUsiwe na miungu mingine ila mimi.
4 cUsijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji.
Copyright information for
SwhNEN