Ezekiel 21:9-10
9 a“Mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo Bwana asemalo:“ ‘Upanga, upanga,
ulionolewa na kusuguliwa:
10 bumenolewa kwa ajili ya mauaji,
umesuguliwa ili ungʼae
kama umeme wa radi!
“ ‘Je, tuifurahie fimbo ya utawala ya mwanangu Yuda? Upanga unaidharau kila fimbo ya namna hiyo.
Copyright information for
SwhNEN