Ezekiel 48:35

35 a“Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa 18,000.
Dhiraa 18,000 ni sawa na kilomita 8.1.


“Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa:

Bwana yupo hapa.”
Copyright information for SwhNEN