Genesis 12:8-9
8 aKutoka huko Abramu akasafiri kuelekea kwenye vilima mashariki ya Betheli, naye akapiga hema huko, Betheli ikiwa upande wa magharibi na Ai upande wa mashariki. Huko alimjengea Bwana madhabahu na akaliitia jina la Bwana. 9 bKisha Abramu akasafiri kuelekea upande wa Negebu.
Copyright information for
SwhNEN