Genesis 15:18-21

18 aSiku hiyo Bwana akafanya Agano na Abramu, na kumwambia, “Nitawapa wazao wako nchi hii, kuanzia Kijito cha Misri
Kijito cha Misri hapa ina maana Wadi-el-Arish kwenye mpaka wa kusini wa Yuda.
hadi mto ule mkubwa, Frati,
19 cyaani nchi ya Wakeni, Wakenizi, Wakadmoni, 20 dWahiti, Waperizi, Warefai, 21 eWaamori, Wakanaani, Wagirgashi na Wayebusi.”

Copyright information for SwhNEN