Genesis 21:2-4
2 aSara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi. 3 bAbrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia. 4 cIsaki alipokuwa na umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru.
Copyright information for
SwhNEN