Genesis 25:25-26
25Wa kwanza kuzaliwa alikuwa mwekundu, mwili wake wote ulikuwa kama mtu aliyevaa vazi lenye nywele; wakamwita jina lake Esau. ▼▼Esau maana yake Mwenye nywele nyingi.
26Baadaye, ndugu yake akatoka, mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino; akaitwa jina lake Yakobo. ▼▼Yakobo maana yake Ashikaye kisigino, au Atwaaye mahali pa mwingine, au Mdanganyaji, au Mwenye hila, au Mlaghai, au Mjanja.
Isaki alikuwa mwenye miaka sitini Rebeka alipowazaa.
Copyright information for
SwhNEN