Genesis 29:33

33 aAkapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Kwa sababu Bwana alisikia kwamba sipendwi, amenipa tena huyu mwana.” Kwa hiyo akamwita Simeoni.
Simeoni maana yake Anasikia, yaani sasa ataungana nami kama Raheli.


Copyright information for SwhNEN