Genesis 3:19-20
19 aKwa jasho la uso wakoutakula chakula chako
hadi utakaporudi ardhini,
kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo,
kwa kuwa wewe u mavumbi
na mavumbini wewe utarudi.”
20 bAdamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.
Copyright information for
SwhNEN