Genesis 30:13

13 aNdipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri.
Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.


Copyright information for SwhNEN