Genesis 30:18-20

18 aNdipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari.
Isakari maana yake Zawadi, yaani Mungu amenizawadia.


19Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita. 20 cNdipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni.
Zabuloni maana yake Heshima.


Copyright information for SwhNEN