Genesis 48:8-9

8 aWakati Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akauliza, “Hawa ni nani?”

9 bYosefu akamjibu baba yake, “Hawa ni wana ambao Mungu amenipa nikiwa huku.”

Ndipo Israeli akasema, “Walete kwangu ili niwabariki.”

Copyright information for SwhNEN