Habakkuk 3:11


11 aJua na mwezi vilisimama kimya mbinguni
katika mngʼao wa mishale yako inayoruka,
na katika mngʼao wa mkuki wako umeremetao.
Copyright information for SwhNEN