Haggai 2:12
12 aKama mtu akibeba nyama iliyowekwa wakfu katika pindo la vazi lake, kisha lile pindo likagusa mkate au mchuzi, divai, mafuta au chakula kingine, je, kitu hicho kitakuwa kimewekwa wakfu?’ ”
Makuhani wakajibu, “La hasha.”
Copyright information for
SwhNEN