Hosea 1:6
6 aGomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama, ▼▼Lo-Ruhama maana yake Sio mpenzi wangu.
kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe.
Copyright information for
SwhNEN