Hosea 2:21-22


21 a“Katika siku ile nitajibu,”
asema Bwana,
“nitajibu kwa anga,
nazo anga zitajibu kwa nchi;
22 bnayo nchi itajibu kwa nafaka,
divai mpya na mafuta,
navyo vitajibu kwa Yezreeli.
Copyright information for SwhNEN