Hosea 4:1-2
Shtaka Dhidi Ya Israeli
1 aSikieni neno la Bwana, enyi Waisraeli,kwa sababu Bwana analo shtaka
dhidi yenu ninyi mnaoishi katika nchi:
“Hakuna uaminifu, hakuna upendo,
hakuna kumjua Mungu katika nchi.
2 bKuna kulaani tu, uongo na uuaji,
wizi na uzinzi,
bila kuwa na mipaka,
nao umwagaji damu mmoja
baada ya mwingine.
Copyright information for
SwhNEN