Hosea 9:3-4
3 aHawataishi katika nchi ya Bwana,Efraimu atarudi Misri
na atakula chakula
kilicho najisi huko Ashuru.
4 bHawatammiminia Bwana sadaka ya divai
wala dhabihu zao hazitampendeza.
Dhabihu kama hizo zitakuwa kwao
kama mkate wa waombolezaji;
nao wote wazilao watakuwa najisi.
Chakula hiki kitakuwa kwa ajili yao wenyewe;
kisije katika Hekalu la Bwana.
Copyright information for
SwhNEN