Isaiah 10:9-11
9 aJe, Kalno hakutendwa kama Karkemishi?Hamathi si kama Arpadi,
nayo Samaria si kama Dameski?
10 bKama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu,
falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria:
11 cje, nisiishughulikie Yerusalemu na sanamu zake
kama nilivyoshughulikia Samaria na vinyago vyake?’ ”
Copyright information for
SwhNEN