Isaiah 13:18-19
18 aMishale yao itawaangusha vijana,hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga
wala hawataangalia watoto kwa huruma.
19 bBabeli, johari ya falme,
utukufu wa kiburi cha Wababeli, ▼
▼Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo.
itaangushwa na Mungu
kama Sodoma na Gomora.
Copyright information for
SwhNEN