Isaiah 3:13-14


13 a Bwana anachukua nafasi yake mahakamani,
anasimama kuhukumu watu.
14 b Bwana anaingia katika hukumu
dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake:
“Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu,
mali zilizonyangʼanywa maskini zimo nyumbani mwenu.
Copyright information for SwhNEN