Isaiah 33:20


20 aMtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu;
macho yenu yatauona Yerusalemu,
mahali pa amani pa kuishi, hema ambalo halitaondolewa,
nguzo zake hazitangʼolewa kamwe,
wala hakuna kamba yake yoyote itakayokatika.
Copyright information for SwhNEN