Isaiah 35:3-4


3 aItieni nguvu mikono iliyo dhaifu,
yafanyeni imara magoti yaliyolegea,
4 bwaambieni wale wenye mioyo ya hofu,
“Kuweni hodari, msiogope;
tazama, Mungu wenu atakuja,
pamoja na malipo ya Mungu,
atakuja na kuwaokoa ninyi.”
Copyright information for SwhNEN