Isaiah 40:6-7


6 aSauti husema, “Piga kelele.”
Nami nikasema, “Nipige kelele gani?”

“Wanadamu wote ni kama majani,
nao utukufu wao wote
ni kama maua ya kondeni.
7 bMajani hunyauka na maua huanguka,
kwa sababu pumzi ya Bwana huyapuliza.
Hakika wanadamu ni majani.
Copyright information for SwhNEN