Isaiah 41:12

12 aIngawa utawatafuta adui zako,
hutawaona.
Wale wanaopigana vita dhidi yako
watakuwa kama vile si kitu kabisa.
Copyright information for SwhNEN