Isaiah 42:1-3

Mtumishi Wa Bwana

1 a“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza,
mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye;
nitaweka Roho yangu juu yake,
naye ataleta haki kwa mataifa.
2 bHatapaza sauti wala kupiga kelele,
wala hataiinua sauti yake barabarani.
3 cMwanzi uliopondeka hatauvunja,
na utambi unaofuka moshi hatauzima.
Kwa uaminifu ataleta haki,
Copyright information for SwhNEN