Isaiah 7:21-22

21 aKatika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili. 22 bKwa ajili ya wingi wa maziwa watakayotoa, atapata jibini ya kula. Wote watakaobakia katika nchi watakula jibini na asali.
Copyright information for SwhNEN