Jeremiah 15:15


15 aWewe unafahamu, Ee Bwana,
unikumbuke na unitunze mimi.
Lipiza kisasi juu ya watesi wangu.
Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali;
kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa.
Copyright information for SwhNEN