Jeremiah 2:10-11
10 aVuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu ▼▼Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania.
nawe uangalie,tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini,
uone kama kumekuwepo kitu kama hiki.
11 cJe, taifa limebadili miungu yake wakati wowote?
(Hata ingawa hao si miungu kamwe.)
Lakini watu wangu wamebadili Utukufu wao
kwa sanamu zisizofaa kitu.
Copyright information for
SwhNEN