Jeremiah 39:4

4 aMfalme Sedekia wa Yuda na askari wote walipowaona, wakakimbia na kuondoka mjini usiku kwa njia ya bustani ya mfalme, kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili, wakaelekea Araba.
Au: kuelekea Bonde la Yordani.


Copyright information for SwhNEN