Jeremiah 48:18


18 a“Shuka kutoka fahari yako
na uketi katika ardhi iliyokauka,
enyi wenyeji wa Binti wa Diboni,
kwa maana yeye aangamizaye Moabu atakuja dhidi yako,
na kuangamiza miji yako iliyozungushiwa maboma.
Copyright information for SwhNEN