Jeremiah 48:32
32 aNinalia machozi kwa ajili yenu, kama Yazeri aliavyo,
enyi mizabibu ya Sibma.
Matawi yako yameenea hadi baharini;
yamefika hadi bahari ya Yazeri.
Mharabu ameyaangukia matunda yako yaliyoiva
na mizabibu yako iliyoiva.
Copyright information for
SwhNEN