Jeremiah 5:30-31
30 a“Jambo la kutisha na kushtusha
limetokea katika nchi hii:
31 bManabii wanatabiri uongo,
makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe,
nao watu wangu wanapenda hivyo.
Lakini mtafanya nini mwisho wake?
Copyright information for
SwhNEN