Jeremiah 50:4-5
4 a“Katika siku hizo, wakati huo,”
asema Bwana,
“watu wa Israeli pamoja na watu wa Yuda
wataenda wakilia ili kumtafuta Bwana Mungu wao.
5 bWataiuliza njia iendayo Sayuni
na kuelekeza nyuso zao huko.
Watakuja na kuambatana na Bwana
katika agano la milele
ambalo halitasahaulika.
Copyright information for
SwhNEN