Jeremiah 6:10
10 aNiseme na nani na kumpa onyo?
Ni nani atakayenisikiliza mimi?
Masikio yao yameziba, ▼▼Masikio yameziba kwa Kiebrania ina maana kwamba masikio yao hayajatahiriwa.
kwa hiyo hawawezi kusikia.
Neno la Bwana ni chukizo kwao,
hawalifurahii.
Copyright information for
SwhNEN