Jeremiah 8:12
12 aJe, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno?
Hapana, hawana aibu hata kidogo,
hawajui hata kuona haya.
Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka,
watashushwa chini watakapoadhibiwa,
asema Bwana.
Copyright information for
SwhNEN