Job 18:17-19

17 aKumbukumbu lake litatoweka katika dunia,
wala hatakuwa na jina katika nchi.
18 bAmeondolewa nuruni na kusukumiwa gizani,
naye amefukuzwa mbali atoke duniani.
19 cHana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake,
wala aliyenusurika mahali alipoishi.
Copyright information for SwhNEN