Job 19:12

12 aMajeshi yake yananisogelea kwa nguvu;
yamenizingira,
yamepiga kambi kulizunguka hema langu.
Copyright information for SwhNEN