Job 19:13-15


13 a“Amewatenga ndugu zangu mbali nami;
wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa.
14 bWatu wa jamaa yangu wamekwenda mbali;
rafiki zangu wamenisahau.
15 cWageni wangu na watumishi wangu wa kike wananiona kama mgeni;
wananitazama kama mgeni.
Copyright information for SwhNEN