Job 22:7-9

7 aHukumpa maji aliyechoka,
nawe ulimnyima chakula mwenye njaa,
8 bingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi:
mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake.
9 cUmewafukuza wajane mikono mitupu
na kuzivunja nguvu za yatima.
Copyright information for SwhNEN