Job 23:8-9


8“Lakini nikienda mashariki, hayupo;
nikienda magharibi, simpati.
9 aAnapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni;
akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.
Copyright information for SwhNEN