Job 28:17-19
17 aDhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo,wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu.
18Marijani na yaspi hazistahili kutajwa;
thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu.
19 bYakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo,
wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi.
Copyright information for
SwhNEN