Job 31:9-11


9 a“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke,
au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu,
10 bbasi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine,
nao wanaume wengine walale naye.
11 cKwa kuwa hilo lingekuwa aibu,
naam, dhambi ya kuhukumiwa.
Copyright information for SwhNEN