Job 38:29-30

29 aBarafu inatoka tumbo la nani?
Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni,
30 bwakati maji yawapo magumu kama jiwe,
wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda?
Copyright information for SwhNEN