Job 7:15-16

15 ahivyo ninachagua kujinyonga na kufa,
kuliko huu mwili wangu.
16 bNinayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi.
Niache; siku zangu ni ubatili.
Copyright information for SwhNEN