Joel 2:28-29
Siku Ya Bwana
28 a“Hata itakuwa, baada ya hayo,nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili.
Wana wenu na binti zenu watatabiri,
wazee wenu wataota ndoto,
na vijana wenu wataona maono.
29 bHata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake,
katika siku zile nitamimina Roho wangu.
Copyright information for
SwhNEN