John 12:13

13 aBasi wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki, huku wakipaza sauti wakisema,

“Hosana!”
Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe.


“Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!”

“Amebarikiwa Mfalme wa Israeli!”
Copyright information for SwhNEN