John 12:41-43
41 aIsaya alisema haya alipoona utukufu wa Yesu na kunena habari zake.42 bLakini wengi miongoni mwa viongozi wa Wayahudi walimwamini, lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakukiri waziwazi kwa maana waliogopa kufukuzwa katika masinagogi. 43 cWao walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu.
Copyright information for
SwhNEN