John 13:31-32
Yesu Atabiri Petro Kumkana
(Mathayo 26:31-35; Marko 14:27-31; Luka 22:31-34)
31 aBaada ya Yuda kutoka nje, Yesu akasema, “Sasa Mwana wa Adamu ametukuzwa, naye Mungu ametukuzwa ndani yake. 32 bIkiwa Mungu ametukuzwa ndani ya Mwana, Mungu atamtukuza Mwana ndani yake mwenyewe naye atamtukuza mara.
Copyright information for
SwhNEN