John 2:21-22
21 aLakini yeye Hekalu alilozungumzia ni mwili wake. 22 bBaada ya kufufuliwa kutoka kwa wafu, wanafunzi wake wakakumbuka yale aliyokuwa amesema. Ndipo wakayaamini Maandiko na yale maneno Yesu aliyokuwa amesema.
Copyright information for
SwhNEN